Nitawezaje kuangalia TV kwenye kompyuta ?

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habar wakuu wa teknolojia hivi inawezekana kuangalia Tv kwenye laptop mfano ITV LIVE??

If possible nifanyeje?

Natanguliza shukrani.
 
Inawezekana kwa kutumia kifaa kinachoitwa usb TV box ambacho unaingiza signal kwa waya Wa AV kutoka kwenye decoder yako kwenda kwenye hiyo TV box then in a display kwenye monitor yako baada ya kuinstall software yake.
 
Inawezekana,unaweza kuona kwa Live Streaming au kuweka TV card.
 
Habar wakuu wa teknolojia hivi inawezekana kuangalia Tv kwenye laptop mfano ITV LIVE??

If possible nifanyeje?

Natanguliza shukrani.

Next to impossible

Njia rahisi ni ku stream sasa hao ITV hawana live stream nilikua naona ya star tv sijui ilipotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…