Nitawezaje ku unlock Android bila kutumia gmail account?

Nitawezaje ku unlock Android bila kutumia gmail account?

YGdemo

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
14
Reaction score
2
Habari zenu
Naombeni msaada wa jinsi ya ku unlock android phone pasipo kutumia gmail account
 
Inategema ku unlock kupi unazungumzia wewe
Kama umesahau password na inakuadai uingize details za gmail na wewe umezisahau au umeuziwa simu ya wizi au umeokota simu ya watu nk, basi unatakiwa kufanya hard rest

Kama imekuwa locked kwa mtandao fulani tu kuna namna zake pia
 
Back
Top Bottom