Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
Mkuu kabla ya kuja huku nilianza na google so hiyo trick ya hapo juu ilifeli ndo maana nikasema jar file nazo nilitry ila bila bila.
najua humu kuna vichwa so naendelea kusubiria maana kasimu kapo portable na kana speed ya 14.4 yaani voda napata hadi 1.2MBps
imefeli step gani?
kuvertify namba ya simu maana haitumi code wala kupiga simu
Nimefanya kama ulivyoelekeza mkuu but inaaemq wrong code ila code hizo hizo ukiziingiza kwenye android zinakubaliomba code na simu yako then usitoke whatsapp, code hazitakuja ila utaekewa box la kueka code
a
chukua simu ya android/java/ios/wp then omba code na namba hio hio kwenye whatsapp inayokubali halafu code zikija weka kwenye wave