Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Habari!
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, kuna picha moja ina ujumbe murua saana nataka kuicopy niwenayo ila sijaweza icopy. Msaada nawezaje kuicopy?
Ur welcome folks!
Fanya screenshot then crop kuondoa jina la ac ya inst
Can u explain a lil bit more maana hapa terminology zoote hizi zimekuwa mpya.. sont worry I'll wait bro!
Nenda google tafuta how to Screen shot on ( andika jina na model ya simu yako) itakuonyesha how to do it. Ikimaanisha kuipiga picha screen ya simu yako kwa page ambayo uliopo.
Then nenda kuiedit hiyo picha kun option ya crop ikimaanisha kuikata picha na kubaki na sehemu unayotaka ionekane tu.
KARIBU MKUU
Nimeipenda huduma yako mkuu hii. Murua saana!.