Nitawezaje Ku-block namba kwenye simu ?

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Natumia line ya vodacom,naomba kujua namna yakumblock mtu!

Asiweze kunibip wala kunitumia message.

Mwenye kujua anisaidie.
 
Inategemea na simu unayotumia, sio line. Uki-register sms ya huyo mtu as spam, hata akipiga utaona tu baadae kama missed call ambayo huwezi kuisikia. Mie natumia LG.
 
Natumia line ya vodacom,naomba kujua namna yakumblock mtu!

Asiweze kunibip wala kunitumia message.

tafuta na udownload app kwa ajili ya kublock(kublacklist) watu usiohitaji wakupigie...

kabla ya kudownload fanya review...

ukiacha hilo Samsung S3 ina default feature ya kublock contact pia unaweza tumia hiyo...
 
Natumia line ya vodacom,naomba kujua namna yakumblock mtu!

Asiweze kunibip wala kunitumia message.

Mwenye kujua anisaidie.
Kwanini unataka solve tatizo wakati hujasema chanzo chake? solutions hizi hapa
-Rudisha ela za watu
-kama humtaki mwambie ukweli
-Lipa deni la watu
-usipende kutoa namba yako kama njugu.
Ya mwisho kama una smart phone mweke kwenye blacklist japo kwa hii utakua humtendei haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…