Nitawapa wapi mashine ya kufyatua tofali za udongo?

Kuna watu wanaitwa temso wanapatikana sido ya dar niliwaona sabasaba walikua nazo ila wanatengeneza kwa oda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…