Hayo ni mapenzi tuu mamaaushaniwekea limbwata la kubaki eee
Sawa sweetie roho yangu siwezi kuondoka alafu ww nikakuacha humu peke yako vyakula vitamu atanipikia nani
Sawa boss.Asante
Sasa nimekuwa boss wako eeh
We Walijua limbwataLimbwata plus
Na ikusute kabisaayani mahaba yote haya nkitoka roho pia itanisuta
UmeonaeeMambo si haya.
Huendi popote sasa...Unajitisha mwnyw hutishwi hapa
Nafwaaa mieee
Kwa nini ulitaka umuache humu
Akwambie mara ngapi?Hehehe
Usiniambie ndo huyooo
HahahaJana ulilala jicho moja likiwa wazi eee usubir kukuche
Nakungoja uje unipe mahaba special
Vipi tenaOhooo....
Una midomo mizuri Malkia
Sie tumekuhamuHahahaha nmewamiss sana
Shkamo shemelaBila ya samahani na wala hujakosea.
Basi SawaAnitambulishe mara ngapi tena
Hahahaaa! Uzi umefanya watu wasilale.Ivi ulilala ww
Haya bwanaAtaeleweka hivi punde.