Oouh..Yashaisha mbona
Lakini si binti badoooLolbinti lkn nauhakika umenizid kdg
Akileft tutamfuata huko hukoAna add wanaotaka kujitoa
Na halafu nafikiri kuna mtu wa ku_removeAna add wanaotaka kujitoa
Shemeji unawolewa kumbe.Nawolewa bhana
Siwezi kuwa single milele
Wafilipino ni sheeda.. Anaweza kukuachia mume wake kisa anakuhurumia tuuWala hujakosea
Salamu zimefika pacha, mzimaPacha nakusalimia.
TooobaaNatoka mojakwa moja insha Allah,yule binamu bandia
ReallyHamjui kuwa tunaanza mwezi mtukufu watarudi baadae hawa wote
Oouh..
Wewe unajua fika Daby akikuona hapa vidole vinashindwa kutype halafu ukimbie.
Hahaha, EwaaaShemeji unawolewa kumbe.
Haya nitakusubiria hapa USA river maana wa huku huwa hatukoseagi
Akileft tutamfuata huko huko
Hahaha Nani uyoNa halafu nafikiri kuna mtu wa ku_remove
Umemuaga sasaNatoka mojakwa moja insha Allah,yule binamu bandia
Hewaala.Hahaha, Ewaaa
Hapo umenena, Nawolewa shem...
Karibu nyumbani
Ndio nawajua sanaWafilipino ni sheeda.. Anaweza kukuachia mume wake kisa anakuhurumia tuu
We Karibu USA bhana, ndo kutakuwa homeAkileft tutamfuata huko huko
Usiniongeleshe tenamm naleft kesho lkn,bado Nina mda