Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #561
Duhh,unanitilisha huzun,ninayo mengi tuHuna cha ziada ambacho hukuposti?, kuna kitu nahisi nakikosa. Favor yoyote ya mwisho...
Chonde chonde...
Kama hata una kikaratasi kipost tu nikopi.
YapKumbe ivo tuu
Mweleze baeleze, anafikir utan ujueSjakugeuka ila...... unajua huyu shemej yangu sana nje ndan
Wambaze
Shem upande upi kwa mfano? Usikute mshanigeuka
Ukweli upi shem jmn niambie tu unachojuaHa ha ha ha ukwel mwengne sio mzur
Kwahyo ntashare na nan au wewe utaongeza upande wako muwe wawilBasi muache tu
Kabisa yaani wala usijali mwayakwanza usimuelekeze mpk ayamalize haya
C huo wa kusema atamchukua wakat anajua kabisa hawez yaan nakuapia shem hawez kabisa niamn mimUkweli upi shem jmn niambie tu unachojua
Plse huna sababu ya kutizama ila fanya hivyo
Maana nikitetea huku napigwa kibao hukunimecheka kwa nguvu
kifoSababu ya kujitoa/???
Jmn jmn huruma huna?shem si kwako jamani,kakupa kakaake au,kwaio uyo Kaka ake ndio nataka nishare na ww
HahahahaWewe kwa hurumaa hizo huondoki...
Sakayo add Arabian qeen
Ndio uchoyo huo sasaSasa c nilitaka kujua kiwango cha uhitaj wako
Huu sasa mtego dah
Najuaje kama ulikuwa unataniaNdio uchoyo huo sasa