Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #501
Maskini wee,polee.JF ya ajabu sana. Unaweza kuta mtu anakufuatilia bila kuchangia chochote, mwisho wa siku credit zako anakupa kimoyo moyo. Mfano mimi, huwa siwezi kuchangia ila nasoma na kufuatilia,kujaribu. Leo yamenikuta na kunishinda... Nime type.
Angalia tu usije ukakosa ajira mana unaweza kuomba ruhusa mpaka mwishowe ukaonekana mtoro.
Hajanikorofisha ila huwa katika list yangu ya wachoyo naye yumoHahaha kwann bestiemmekorofishana wapi tena
Mbona una mikwara hvyo lakinhaya wanze kusulushisha laa sivo namfata Sasa ivi beby wako nkamchukuesi unajua sishindwi ee
Shem nimekosea kidogo tu na nimesha rectify. Naomba unisadie kuomba maana duuh
Afadhali. Acha ninywe maji kidogoUsjal anakupiga mikwara tu Huyo jeur hyo hana
Hahaha umeonaee,Kasahau ule usemi wa kizuri kula na nduguyo.
Ana wivu tu huyooHahaha kwann bestiemmekorofishana wapi tena
Bby bora ila hawachelewi maringo na akishajua yeye ndio sababu basi utajutasasa kazi na bby wangu kipi cha maana?
Tayar nishamwambia mamy. Nimekuwa mpole ujue maana sitaki kubishana na wewe unigeuke bureeeushamwambia au bado sitoki hapa mpk kieleweke
C nilikupa ukakataa ukasema kubwa sana Leo nmekuwa mchyoHajanikorofisha ila huwa katika list yangu ya wachoyo naye yumo
Mbona shem ivo lakin,au hutaki nkupe namba anguWewe umekula na Nan kwa mfano?
Huna cha ziada ambacho hukuposti?, kuna kitu nahisi nakikosa. Favor yoyote ya mwisho...Maskini wee,polee.
Pic nliwah kueka ktk profile yangPic plz Arabian queen
Uwiii mimi na yeye tumeshakubaliana kwamba kazi ni bonus tuBby bora ila hawachelewi maringo na akishajua yeye ndio sababu basi utajuta
Kumbe ivo tuuJus logout and delete jf's app
Please onea huruma ka moyo kangu
Na mim nimekaribiaa