Na huo ndo ukweli my wiiNikwambie kitu usiondoke basi kabisa punguza tu kuingia shoga angu
HahahahahaGeuka tu shoga angu ndio tunavyotaka iwe hivyo
Upo makini.Woyooooo
2k hiyo
Tayari bosszishatimia k mbil au bado
Hivyo ikiwekwa kwaito unaweza hata ukatusahau ukawa busy na kucheza. My wi we kiboko aiseeHahaha
Asante mnoo, mie ni mcheza kwaito maarufu
AminaSijambo wifi yangu. Tunamshukuru m'mungu kumekucha salama
HahahahahaThubutuuu...
Hiyo laana utakuwa unaita jina langu kila sekunde
Aisee
HahahaLol maua yapi ayo.
Ulikalia maua kwani
KabisaaKwa mahaba haya naogopa hata kuondoka
2k imefika lakini.umepooza
Ndio bhana, si Umeona mwenyeweHahahahahaha
Kabisaa YaaniEti kwa mashabiki wote hawa. Nitamshangaa kwa kweli.
Mabomu ya kuandikaMabom ya machozi