E Elai Senior Member Joined May 26, 2011 Posts 156 Reaction score 11 Dec 23, 2011 #1 Kuna post iliwekwa hapa na member mmoja wa JF "Sizinga" ikieleza namna ya kupata Windows XP CD key kutoka kwenye CD yenyewe. Kwa anaye fahamu namna ya kupata key kutoka kwenye CD ya Ms office 2000 tusaidiane. Nawasilisha.
Kuna post iliwekwa hapa na member mmoja wa JF "Sizinga" ikieleza namna ya kupata Windows XP CD key kutoka kwenye CD yenyewe. Kwa anaye fahamu namna ya kupata key kutoka kwenye CD ya Ms office 2000 tusaidiane. Nawasilisha.