Ivi memory card zinaweza kuharibu simu?
Miaka kama miwili iliyopita mi na jamaa yangu tulinunua memory card dodoma zote zilikuwa 4Gb cha ajabu alivyoweka kwenye samsung galaxy ace ile simu ilizimika jumla na alipopeleka kwa fundi akaambiwa memorycard. Mimi nikaweka kwenye htc, ile kuweka tu simu ika hang app zote. Ila nilipoitoa na kuweka ya mwanzo ikawa fresh. Mpaka sasa sijaelewa how memory card zinaweza haribu simu