dedam JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 845 Reaction score 166 May 18, 2014 #1 Waungwana naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuunganisha samsung galaxy s5 ili niweze kufurahia internet, ASANTENI WAUNGWANA
Waungwana naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuunganisha samsung galaxy s5 ili niweze kufurahia internet, ASANTENI WAUNGWANA
Buhamila Senior Member Joined Feb 5, 2012 Posts 160 Reaction score 82 May 18, 2014 #2 Wasiliana na mawakala wao au mtandao wa sim unaotumia