Nitapataje acc yangu ya Facebook

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Nimesahau password yangu ya FB nikajaribu kwenda kwenye forgotten password wakanambia watatuma code za password kwenye no niliyojiunga nayo FB lakini hiyo no nilishapoteza siku nyingi.

Je ni njia ipi naweza kuipata acc yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa kuna alternative questions kama birth date, kutuma code kwa email n.k tumia hizo.
 
Mkuu kama ulifanikisha nisaidie na mimi maana nimepatwa na tatizo kama lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…