ukiwa unatokea Magomeni kuelekea posta ukifika kwenye taa za jangwani,kabla ya office ya fire,kushoto njia ya kwenda Muhimbili hospital na kulia kuna petrol station ya Total,upande wa kulia kuna yard ya magari jirani ya hii yard kuna gorofa pale wanauza.Panaitwa Radium kama sijakosea jina.Ila uwe na pesa gharama zao si mchezo