Mkuu huawei p9 iko poa mno kuanzia battery endurance na hamna lagging kwa sababu ya processor yao ya kirin pia finger print yake ni balaa sidhani kama kuna simu inaweza ipita scanner hii kumbuka Huawei wanatumia co_processor i53 kwaajili ya fingerprints tu
Nilichogundua kati ya kirin vs snapdragon ni kuwa kirin iko vizuri mno katika performance hasa pale samsung,lg na wengine wanaotumia snapdragon mara kwa mara simu FORCE CLOSE,huku huawei hamna hicho kitu