unaweza jua duka au hata mtaa zilipo ?Zipo kariakoo bei zinategemea na Ukubwa
HmmNimetengeneza ya kuogesha watu,, kwa wavivu kama nyie bei 5,000,000/=

Ukiwa unatoka Tandika shuka pale Goldstar ni karibu na Stesheni ya Treni,Waone West Pointunaweza jua duka au hata mtaa zilipo ?
Nenda duka kubwa la Samsung au LG.Huu uzi wa kitambo imebidi niufufue kuliko kuanzisha mwingine,swali ni lilelile uhitaji ni ulele.
Naweza pata wapi hili dish la kuoshea vyombo.
Ukubwa wa mashine na bei yake.
Nipo Dar.