Nitapata wapi kazi ya Maabara?

Nitapata wapi kazi ya Maabara?

Joined
Apr 20, 2017
Posts
32
Reaction score
15
Nina miaka 25 , ninakaa Kahama- Shinyanga.....nipo natafuta kazi ya Maabara (Lab Assistant) nafasi ikipatikana nafanya sehemu yoyote ile.....0765 626 871
....vyeti na licence ninazo....
 
Nina miaka 25 , ninakaa Kahama- Shinyanga.....nipo natafuta kazi ya Maabara (Lab Assistant) nafasi ikipatikana nafanya sehemu yoyote ile.....0765 626 871
....vyeti na licence ninazo....
Njoo inbox.uje na short CV yako
 
Habari kaka? Nilimaliza chuo 2016...nikafanya kazi Kondoa mwaka jana Tyma dispensary...then nikafanya kazi Maabara pekee Chamazi Dar badae nikahamia Dispensary pale Buguruni....
 
Habari kaka? Nilimaliza chuo 2016...nikafanya kazi Kondoa mwaka jana Tyma dispensary...then nikafanya kazi Maabara pekee Chamazi Dar badae nikahamia Dispensary pale Buguruni....
Nenda Pm Yake kakwambia au huifahamu PM mkuu.
Ingekuwa USAILI ushafeli sasa.
 
Huyo anayemtaka PM c ampigie tu? Mbona kaweka number yake, wengine wageni hapa!!
 
Huyo anayemtaka PM c ampigie tu? Mbona kaweka number yake, wengine wageni hapa!!
Hivi kweli wewe unashida alafu wewe ndo utafutwe inakuja mkuu unahisi asipokutafuta yeye atapoteza nini maana wenyewe sifa wapo wengi ila je wewe mfano usipomtafuta unapoteza fursa au hili nalo umeshibdwa waza.
 
Huyo aliesema njoo inbox alikuwa anazungumzia zile kazi zilizotolewa na JWTZ za afya ila wanahitaji Bachelor sasa mie nina Certificte kwa hiyo zimenipita kushoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom