chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,111
- 1,494
Ahsante mkuuIngia kwenye website Ardhi na Chuo Cha Mipango Dodoma (IRDP) I hope hapo unaweza just chochote
www.irdp.ac.tzPoleni na majukumu wa ndugu!
natamani kurudi shule nikasome kozi moja wapo kati ya hizi:
1. postgraduate diploma in land management
2. postgraduate diploma in Environmental management
3. Postgraduate diploma in Environmental conservation
Ikiwa kuna chuo kizuri hapa Tanzania kinachotoa moja ya kozi hizo au ata kama inaendana na hizo tuambizane. N i muhimu
Hiyo elimu ya akhera itaamsaidia nini hapa duniani! Ujinga mtupu! Mtu anataka asome zaidi ili kupambana na changamoto za kila siku hapa duniani, wewe unamletea mambo ya kiini macho na mazingaombwe!Kwanini usiende madrasa uongeze elimu akhera!
IRDP hamna kitu hapo, atatoka patupu! Kumejaa vilazaIngia kwenye website Ardhi na Chuo Cha Mipango Dodoma (IRDP) I hope hapo unaweza just chochote
nimetembelea hiyo website kuna kozi ya Environmental planning, hii sio target yangu
mwaka 2015 niligraduate M Sc Natural Resource Management,ila shahada ya kwanza ni B Sc ( ed) sasa natakaka kuipa thamani Shahada ya pili, nitafute uhusiano katika elimu niliyonayo( conection)Kwa nn postgraduate na sio masters?
yap! Ahsante, nimetembelea website yao, wana kozi kama hii ila yao ni ''Environmental Technology and Management, nadhani kwa kuanzia ni nzuri.Ardhi University nadhanj wanyo programme ya land management
tumia huo muda kutafuta pesa.mwaka 2015 niligraduate M Sc Natural Resource Management,ila shahada ya kwanza ni B Sc ( ed) sasa natakaka kuipa thamani Shahada ya pili, nitafute uhusiano katika elimu niliyonayo( conection)
pili nimeajiliwa education,nataka nibadili kada