Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,458
- 101,789
Subiri kwanza.Hapo ulipoandika..."kwa simu ya mama watoto"...!Ni kiswahili cha wapi hicho?Kwa nini unaandika kama mtoto?Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.
Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?
Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?
Ni mama wa watoto wee ulitaka nimiteje ? Ni yeye aliyewazaa watoto hata wewe unajua hiloshida mpaka watu wanataka kufanya DNA test ni sisi tunaotaka kujiridhisha inapotokea mama huyu aliyeandikiwa MY LOV WANGU huku ww unaishi naye ULITAKA NIMUITEJE???🤪🧐Subiri kwanza.Hapo ulipoandika..."kwa simu ya mama watoto"...!Ni kiswahili cha wapi hicho?Kwa nini unaandika kama mtoto?
Haujaelewa swali.Mtu akikutamkia...naenda kwa nyumba"...!Utamuelewaje?Ni mama wa watoto wee ulitaka nimiteje ? Ni yeye aliyewazaa watoto hata wewe unajua hiloshida mpaka watu wanataka kufanya DNA test ni sisi tunaotaka kujiridhisha inapotokea mama huyu aliyeandikiwa MY LOV WANGU huku ww unaishi naye ULITAKA NIMUITEJE???🤪🧐
Soma hapo juu uelewe.Na hata ulivyoandika tena siyo kiswahili.Hujajibu je nimuiteje ???
Na bado akamegwaKufatilia simu ya mwanamke haina tofauti na kumsindikiza mwanamke kila mahali...
Dawa yake ni kutulia usimwadhibu yeyote lakini hakikisha wote wanajua kuwa unajua.Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.
Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?
Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?
Akipata mpya na we tafuta mwenye takoNimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.
Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?
Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?