Nitamtetea Rais wangu, Magufuli

Kwa maana ana makosa utetezi ni given.

Lakini tayari ana hatia utetezi wako kazi bure.
 
Mkuu mtumie na nauli kabisaaaa aje huko kwako kufuata chakula na mavazi hahaha
 
Tetea kula trilion 1.5 tetea 10% kwenye miladi yote mikubwa ikiwemo ununuzi wa ndege ujenzi wa reli, Chato Airport nk
 
Ukitembea ovyo utapata mimba isiyotarajiwa. Halafu yule ni mme wa mtu na anajiheshimu. Tafuta boya mwenzio wa kutembea naye
 
Huwezi kumuhukumu samaki kwa kushindwa kupanda mti na tunajifunza kutokana na makosa hivyo suala la korosho ufumbuzi wake utapatikana as soon as possible

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikisoma utetezi wako kwa huyo jamaa yako. Sioni sababu za msingi , kwamba amekosea sana na anahitaji kutetewa ?!

Kikubwa tunataka kuongozwa ki democracy si kama kuswaga ng'ombe. Unapoongoza wanaadamu (wananchi) ujue wana akili na utashi pia. Si sawa na ng'ombe.

Umezungumzia upigaji, hao bavicha na ufipa wanahusika je na upigaji ?!. Si huyo ndiye amehusika na sasa anajifanya malaika ?!. Mikataba mibovu yote ni huko huko Lumumba na si upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uteuzi umeisha ndugu!
Wakati tunapigwa kupitia ESCROW,bomba LA gesi,mikataba mibovu ya madini,huyu mzalendo wenu,alitoa mchango gani?zaidi ya kusema ndiooooo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na Tanzania Natembea na Magufuli. We kiboko unatembea na magufuli weee wacha wee

get well soon tl
 
Unamaanisha kishindo cha mabomu na risasi? Utawala bora ni ule unaofuata sheria well said lakini nikuulize swali dogo tu, Hakuna sheria inayoruhusu mikutano ya siasa na maandamano kufanyika? Hii ya kusema kila mtu afanyie kwenye jimbo lake wananchi tulikubaliana lini na viongozi wetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…