bichwa mtoto
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 274
- 564
Mimi bichwa mtoto kwa akili yangu mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote.Naahidi kumtetea Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu John Joseph Magufuli.
Kwa kijana yeyote mzalendo wa Kitanzania ni lazima atakuwa anakubaliana na jinsi Rais wetu mpendwa anavyo chapa kazi.hivyo wewe kijana mzalendo tuungane wote kumtetea Rais wetu huyu. Hawa vijana wa Bavicha ni wachache sana kulinganisha na vijana tuliopo huku mtaani ambao tunamkubali Rais huyu
Kwa pamoja tunasema
Mimi na Tanzania Natembea na Magufuli
#Tembea na Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumuhukumu samaki kwa kushindwa kupanda mti na tunajifunza kutokana na makosa hivyo suala la korosho ufumbuzi wake utapatikana as soon as possible
Hujaona watoto walivyo walaza watu wazima kwenye film internation festival hiyo jana kupitia azamKweli we n bichwa mtoto..
Jina linasadifu vlivyomo bichwani mwakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
WE Jamaa hueleweki kabisa ati
Kumbe na we n msaniiHujaona watoto walivyo walaza watu wazima kwenye film internation festival hiyo jana kupitia azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Baado unakula kwa baba yako ndoo akili zako hivyoo ndoo maanaMimi bichwa mtoto kwa akili yangu mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote.Naahidi kumtetea Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu John Joseph Magufuli.
Kwa kijana yeyote mzalendo wa Kitanzania ni lazima atakuwa anakubaliana na jinsi Rais wetu mpendwa anavyo chapa kazi.hivyo wewe kijana mzalendo tuungane wote kumtetea Rais wetu huyu. Hawa vijana wa Bavicha ni wachache sana kulinganisha na vijana tuliopo huku mtaani ambao tunamkubali Rais huyu
Kwa pamoja tunasema
Mimi na Tanzania Natembea na Magufuli
#Tembea na Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Napatikana Tabora mtaa wa kanyenye njoo kwangu nitakurisha kwa fedha zangu nitakununulia nguo kwa fedha zangu
Mjengo wako huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napatikana Tabora mtaa wa kanyenye njoo kwangu nitakurisha kwa fedha zangu nitakununulia nguo kwa fedha zangu
Watu tuko vizuri ndo maana tunamkubali Rais wetu mlizoea upigaji sasa mmekatiwa mirija mnalia lia apa mnatia huruma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjengo wako huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1031300
Sent using Jamii Forums mobile app