Nitamkubali Magufuli akifanya haya

maonomakuu

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
2,516
1,198
1.Akipeleka bungeni mikataba yote yaliyofanywa kwa siri hasa wa madini na Gesi
2.Akirejesha katiba ya wananchi hhasa ya Warioba
3.Akijiondolea kinga yeye mwenyewe maana hakuna haja ya kuwawekea sheria wengine wewe usiwekewe
5.Akimaliza changamoto za muungano maana mimi naamini huu muungano utakuwa chanzo cha kusababisha magaidi endapo utaanzia upande wa pili
6.Kuwe na utawala wa sheria bila kujali cheo cha mtu mfano Jana nilisoma taarifa ya ofisi ya makamu wa rais kuhusu bomoabomoa nikagundua DART haitabomolewa ila wananchi watabomolewa.
7.Vyeo vya uteuzi hasa wakuregenzi, wakuu wa wilaya watu washindanie kwa interview
8.Agundue Sera ya kitaifa siyo kuendeshwa na ilani ya chama cha siasa bali vyama vya siasa vitengeneze ilani zao kwa kuzingatia Sera ya kitaifa.
Kazi nzema
 
Na wewe umepanga kuifanyia nin nchi yako maana si ya Jpm mwenyewe
 
Back
Top Bottom