ukitaka ule raha hiyo kesho tafuta mhaya mmoja ule nae gambe.....hawa jamaa ukinywa nao mwanzo mwisho anakuambia ana ghorofa mbezi beach......
sawa....dress code....?
kwenye mitoko kama hii u knw hakuna ustaarabu kwa saana kwa hiy lazima ujihami raba nyeusi ya kushika kweli kweli mguuni hata likitokea la kutokea uweze kutoka nduki.....jinsi simpo full black,..na tshirt lainiii nyeusi.....btw watoto wa mbwa watakuwepo kibao kama una ndinga achana nalo kwa leo arifu....sawa....dress code....?