Ni wanaume tuu... au na wanawake pia..?Mimi huwa siwaelewagi hawa watu wanaoitwa ma Ex.
Unaweza kuachana na mtu na kila mtu akawa na maisha yake labda Kaoa/Kaolewa, ila kutwa kucha kakuganda utafikiri alizaliwa na wewe.
Mtu Kama alikuwa anakupenda haimaanishi atakupenda milele, ama mlikuwa wapenzi basi mapenzi yataendelea hata mkiachana, upendo huisha.
Mtu anatoka huko atokako "oooh, wewe utabaki kuwa wangu tu milele, sikuachi sahau" na fujo kibao utafikiri mliandikiana mkataba wa maisha.
Ukiamua kuacha kitu kiache mazima sio unakiacha huku moyoni unakitaka bado. Hasa Wanaume umemuacha mtu umeenda huko au umeoa yamekubumia unarudi kusumbua watu na ubabe juu, visa mtindo mmoja kuwakosesha raha watu muache iyo tabia mnakera sana.
Ukiona hvyo wewe mliachana kwa sababu za kipumbavu halafu kimya kimya ukitaka msirudiane kipindi mnaachana piganeni mangumi chomeni moto mavitu yenu pasueni vioo vya ndinga zenu yani liwe bonge la varangati au kama yule aliyetumiwa Zawadi ya picha mavii hapo harudi mtuMimi huwa siwaelewagi hawa watu wanaoitwa ma Ex.
Unaweza kuachana na mtu na kila mtu akawa na maisha yake labda Kaoa/Kaolewa, ila kutwa kucha kakuganda utafikiri alizaliwa na wewe.
Mtu Kama alikuwa anakupenda haimaanishi atakupenda milele, ama mlikuwa wapenzi basi mapenzi yataendelea hata mkiachana, upendo huisha.
Mtu anatoka huko atokako "oooh, wewe utabaki kuwa wangu tu milele, sikuachi sahau" na fujo kibao utafikiri mliandikiana mkataba wa maisha.
Ukiamua kuacha kitu kiache mazima sio unakiacha huku moyoni unakitaka bado. Hasa Wanaume umemuacha mtu umeenda huko au umeoa yamekubumia unarudi kusumbua watu na ubabe juu, visa mtindo mmoja kuwakosesha raha watu muache iyo tabia mnakera sana.
Vipi kiji-ex chako kinataka kukutibulia ndoa nn??[emoji2] [emoji2]Nimeolewa Mkuu.
Hahahaaa Mkuu umenitolea mbavu nje....eti pension dah watu mna masihara sana aisee.Alifanya kazi yake na sasa amestaafu. Anarudi kufata pension yake.