Hahahaaaa.Kuna kaka mmoja alijidai kumwambia dada mmoja nitakuoa.Walikuwa wana miaka miwili kwenye mahusiamo.Dada akaja na mimbinu yake na kumwambia kaka kuwa yeye ni mjamzito.Kaka bila haya alianza kujiuma meno na kusema nitajuaje kama hiyo mimba ni yangu na maneno mengii ambayo hayana kichwa wala miguu.Kumbe bi mdada alikuwa anampima tu ajue hivi likitokea jambo kama hilo jamaa atakubali kuwa responsible.Hahaaa bi mdada aliamua kuachana nae na kuona kuwa jamaa hana maana.anampenda tu akiwa mzima but yakitokea mengine hana time