Nitakuita mama, ila sio "mama yangu"

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
Nitakuita mama..
Mama watoto
Mama chanja
Mama vyovyote vile ila wewe sio mama yangu.

Na katu mama yangu sitomuita "bi mkubwa"
nawaza naona ni matusi makubwa sana "kumuita mama mzazi "bi mkubwa"

Wewe muite tu,mama yako bimkubwa, Mimi siwezi
 
Hahaha ingekua Kisandu yupo on air ningehisi hii ni id yake nyingine.
 
nani mlengwa wa huu ujumbe?
 
nani mlengwa wa huu ujumbe?
Mwanaume yeyote anaye Muita mke wake,"mama yangu"

Mwanamke yeyote anayemuita mumewe,"baba yangu"

Mtu yeyote anayemuita mama yake, "bi mkubwa"
 
Unavyomfeel yaani utamuita bila kujielewa
But ukifikiria unachofanya na mkeo, unaona ni sawa kumuita "mama yangu"

Kumuita mkeo "mama yangu" wakati una mlala SIO NI KUTUKANA MAMA YAKO?

Unachofanya na "bi mdogo unahaki na uhuru wa kufanya na bi mkubwa.
Bi mdogo ni mke mdogo.
Bi mkubwa ni mke wa kwanza.

Je mama yako ni MKE WAKO mpaka umuite bi mkubwa?

Hata kama ni kufeel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…