habari wakuu?. kuna ndugu yangu amechaguliwa moja kwa moja kujiunga na masomo ya ngazi ya diploma katika chuo cha TUMBI Tabora. katika ulipaji wa ada kuna wale wa goverment na private sponsored wanalipa tofauti.
je nitajuaje kama analipiwa na serikali?. naomba mwenye ufahamu anisaidie apo tafadhali.
shukrani