kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,132
- 24,437
Wataalam hii inatatulika vipi
Wakuu, nilikua Dubai last week kikazi nikakutana na hii simu nikainunua ambayo ni oppo reno 12
Kipengele inagoma kujisajili whatssap inaniambia "you need official whatssap to log in"
Nikiingia playstore kuna mahali inasema device not certified....
Hili linatatuliwa vipi wakuu maana nimejaribu kila njia whatssap imegoma kukubali