Si kila aliingia darasani ni msomi aisee...Kama tunaenda na notion hiyo basi hata alieishia la saba ni msomi..Mtoa nafikiri analenga zaidi "Academicians" watu wanaopata msosi kupitia elimu zao, wako kwenye research institutions huko,waalimu vyuoni - na watu wa design hiyo...
Sababu hata biashara nyingi zinahitaji uelewa na elimu mbalimbali tofauti ni katika extent ipi??
Tuchukue mfano wa Professors...hivi kweli huo muda wa kuwaza miradi kwa ajili ya kutengeneza mabilioni anatoa wapi, anamikaratasi ya kusahihisha, ana dissertations etc...the same kwa Doctors n.k