Nitajie Brain game zuri

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,037
Reaction score
1,448
Wakati mwingine baada ya kazi na shughuli huwa tunaketi na kutumia simu zetu kwa kuchati, kusikiliza music na vingne.

Wakulu kwa nia ya dhati naomba msaada kujuzwa ni game lipi ni zuri kwa ajili ya kuchallenge akili na pia unambie ni lipi linafanya akili yakk ikae sawa na ku improve. kwani play store yapo mengi ila ndio sijajua lipi liko saf zaidi.

Natanguliza shukrani

-all is well-
 
Game la nyoka mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…