Nitaiweka wapi sura yangu


mama yako mdogo kielehele sana unajua matoke ya kitu icho lakin hakujiongeza kama mtu mzima? si kila jambo utasema.pole
 
Chai hii, tena chai kavu isiyo na vitafunwa

Hadithi hii haina tofauti na zile hadithi za miaka ile "MAMA MDOGO NAYE ANATAKA" la gazeti la sani nk
 
Mbona rahisi hivyo hiyo sura iweke mfukoni mwako, simple like that
 
Hivi gongo la mboto kuna nyumba ya ghorofa? Manake mie mgeni daslama.
Halafu unazimia chuoni na after two hrs unazindukia nyumbani? Lazma una bodyguards na kahelicopter

Huwenda kuingia na kutoka chumbani kuna vile vingazi, sio lazima iwe ghorofa. Huwenda anasoma Kampala internationaleee University
 
Nyumba yenu kumbe ya ghorofa!!sasa mbona mzee anaenda gueat bubu buguruni?????????

What a good question!

+Kwa kweli kama ingekuwa kweli usingeiandika hapa kirahisi hivyo, hivi unaujua uchungu wa mama yako kufariki huku anakulaumu? NI kama laana, its not that simple
 
kwaiyo sasa kilichomuua mama ni kwa sababu wewe haujamwambia au ni kwavile baba yako alivyomsaliti?
 
Nipe ruhsa nifanye muendelezo wa hii hadithi, na jinsi maisha yalivyo kubadilikia baada ya mama kufariki, pia baba alivyo kuchukulia baada ya kuona umetoa siri ilopelekea kumpoteza mkewe, bila kusahau maisha yalivyokua magumu chuoni hadi una maliza na kupata mafanikio makubwa kimaisha na leo kutupa simulizi ya mfano
 
Humu kuna vichwa acha waje wachambue topic ila mm ht daslama cpajui nitakupa pole tu
 
Huko ngongo la mboto hamna street names na hapasomeki kwenye google maps. Nisije nikapotea mie. Akhuu

Kuna kugoogle natural huhitaji network wala kifurushi.....

Kuuliza sh 100
Kupelekwa 300.
 
Stori ilikua nzuri nilivo jua ya kutunga nikaona haina maana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…