Endelea kutumika tuone nani mjinga
Honestly, vijana wenye mawazo sawa na huyu madini chuma ndani ya CDM ni janga kwa CDM na taifa kwa ujumla.Hizo kero zipo kila mahali dogo..!! Haujasema utasaidiana vp na wananchi kuzitatua...!!! Tatizo kubwa la wanasiasa wetu nchi hii ni kuongelea matatizo bila kuja na concrete solutions...!! So dont fall in the same trap...
Honestly, vijana wenye mawazo sawa na huyu madini chuma ndani ya CDM ni janga kwa CDM na taifa kwa ujumla.
pambana kamanda jenga chama kwa wakati huu na sisi tupo nyuma yako,usikate tamaa.Embu maliza shule, acha kiherehere. Utaweza kujenga barabara wewe????
mbunge hana pesa mfukoni ya kujenga barabara au kufanya chochote,ana pesa ya mshahara tu na vijisenti vya mfuko wa jimbo,wenye bajeti ni serikali na wanaigawa kulingana na vipaumbele vya taifa,huko mwibara hata baskeli hamuwezi kununua,mpewe barabara za lami za nini?
maccm wote mawazo yao ni roho mbaya tu,cdm itafukuza panya wote na bara bara zitajengwa tu.
Wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Elimu yangu ni kidato cha sita na nimwanafunzi wachuo kikuu, ninamalengo ya kugombea ubunge jimbo la Mwibara. Sababu Zakugombea ni 1. Tunashida ya barabara tangu uhuru mpaka kesho kitu ambacho kimekuwa nikero kwa wananchi waliowengi 2. Elimu inadolola kila uchao lakini hakuna jitihada zozote za kuiweka sawa 3. Watu wamechoka na utawala dharimu wa ccm kwani hauna tija kwa wananchi waliowengi 4. Hakuna miradi yoyote ya maendeleo kama kilimo cha umwagiliaji kwani jimbo la mwibara limekuwa kinara wa kuomba misaada ya chakula kila kukicha Kulingana nahayo niliyo yasema hapo juu, nimeona ni vyemQa kugombea nafasi hiyo kupitia cdm ili tuasaidiane na wananchi wa mwibara kujikomboa katika lindi kubwa la umaskini. Nawaomba wananxhi wenzangu wa mwibara tushirikiane kuyafanikisha haya.
Nitagombea kupitia cdm, hao wengine nikupitia ccm kwani bado hawajitambui.
Kangi lugola mbona jembe? au ni mbwembwe zake tu bungeni?
Kangi lugola mbona jembe? au ni mbwembwe zake tu bungeni?
Kangi lugola mbona jembe? au ni mbwembwe zake tu bungeni?
Utagombea kupitia chama gani?, Au chama kipya?
kwa hiyo mtakuwa watatu sasa? Muyenjwa, Kangi na wewe
Nyambafu mara form six mara chuo uweleweki rudia ujuwe kusoma na kuwandika. Mkishapewa mnaanza kusema swala la kujenga barabara ni kazi ya serkali wakt umehaidi na unapotaka kugombea apafai cdm haina mashiko tena singida ni chama mfu kwa sasa