Ningependa unifafanulie zaid yani nyanya za million 5 wanunue mama ntilie si ntachukua muda mrefu na hao mama ntilie si wanatakiwa wawe weng sana labda dsm nzima
Kwanza wewe unapenda nn?
Pili biashara ya nyanya kwa sasa utalia kilio cha mbwa mdomo juu
Waza kwanza wewe mwenyewe kulingana na jamii yako ilivyo
Kuna biashara ya kulenga Magari ya wale wanaouza kwa ajili ya shida then unauza kwa bei ya juu
Ingine kopesha pesa za riba huku ukichukua dhamana zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.