Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.
Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda rudi kwamba tuwe ngangari tupambane tuitoe ccm madarakani kumbe wao sio ngangari, wana ngozi laini ajabu, Mwiba mmoja tu unawachoma hapohapo wanaahirisha safari. Kama viongozi wana ngozi laini kiasi hiki,normal members itakuwaje?
Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumped?
Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.
Naelewa inavyoumiza mkuu..., lakini kura yangu na watu wangu 15 kura ni kwa Laigwanani mzee hodari hapo Oct 25th.Unataka kuturudisha misri hebu kuwa positive hata kidogo basi
Aisee!nchi ya tanzania haipo duniani bali ipo guniani...tena gunia la taka chafu ambalo liko nje ya nyumba(duniani)likimsubiri mzoa taka(shetani)alipitie akaritupilie mbali kabla bwana usafi(mungu)kupitia vitaru vyake visafi...
Usiusemee moyo, Kwani Lissu amekwambia umuchukulie form za uenyekiti?Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya
chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI
TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.
Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.
Yuda? No thanksKwani ulishindwaje kujiunga na vyama vya akina yuda?
Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.
Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda rudi kwamba tuwe ngangari tupambane tuitoe ccm madarakani kumbe wao sio ngangari, wana ngozi laini ajabu, Mwiba mmoja tu unawachoma hapohapo wanaahirisha safari. Kama viongozi wana ngozi laini kiasi hiki,normal members itakuwaje?
Swali jingine, kama viongozi tuliowategemea kabisa kwamba hawana bei lakini wametupiwa kipande cha mkate wakaamua kuikacha safari ya kwenda kufaidi keki, itakuwa mimi a mere lumpen?
Wanamabadiliko niambieni, kama leo katika timu UKAWA Zitto ndani, Mkumbo ndani, Arfi ndani, Dr Slaa ndani, Prof Lipumba ndani... hata na Yuda mkubwa kuliko yule Yuda wa kwenye Biblia, Shibuda ndani, CCM si wangekuwa wameshajinyea sasa hivi? Agghrrrrrrr.. .. refer the heading.
ama kweli wewe humtakii mema lisu. hivi unafikiri Lisu haoni yaliyomkuta hayati wangwe na Zitto? ile nafasi ni yakifamilia zaidi. kaa mbali nayo kama unataka kuwa salama chadema.Kwanini msimwone kama Mbowe ndo tatizo kwa kushindwa kufanya kazi na watu wote hao?Na mbona madai yote wanayoyalalamikia ndani ya chaggadema hayajawahi kurekebishwa?Makamanda mnaonaje TUMCHUKULIE FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI TUNDULISSU MUDA UKIFIKA.
UKAWA hawajapoteza uchaguzi kihalali, na wao hawajakubali maana wameporwa ushindi wao. Siwezi kuchukua kadi ya kijani kujiunga na Intalahamwe manyang'au makubwa. Ninabaki na hasira zangu kama kifaru aliyejeruhiwa. Ninamsubiri Tundu Lissu achukue kijiti.Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani.