Hey,wanachama wenzangu nina girlfriend wangu nampenda sana kias kwamba nimeshalidhia kuwa nae maisha yangu yote na yeye ananiambia hivyo ila mimi siamini kama kweli ananipenda,,so naweza kumweka katika mtego gani hili niamini kama kweli ananipenda??