Hostel for rent. Near NIT Mabibo 10 minutes walk, along the road suitable for students at IFM, CBE, MUHAS, UDSM and colleges nearby.
Single bus to all these places. Call PM owner.
Clean and secured place for 50,000/.
chumba 50,000????labda uswahilini sanaa na sehemu kama hizo kutakua hamna mazingira mazuri ya kujisomea..kwa wale wa IFM Karibuni sana KIGAMBONI the city of IFM............
chumba 50,000????labda uswahilini sanaa na sehemu kama hizo kutakua hamna mazingira mazuri ya kujisomea..kwa wale wa IFM Karibuni sana KIGAMBONI the city of IFM............
kigamboni hamna shida ya maji....ni kama sehemu nyingine tuu umeme ukikatika labda ndo shida inakuwepo.....ila maji NI YA CHUMVI KIAsi kwa maeneo ya karibu na fery...bei inategemea na ukaribu wa chumba na ferry pia na hali ya rum..chumba cha kawaida kinaanzia 60,000 au ukitaka cha kawaida sanaaa 50,000 niPM kama unahitaji rum. na ni vizuri kuwahi kabla havijaanza kuwa adimu