andy90
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 270
- 105
Habar zenu wandugu!
Karibun sana katka hali ya kufahamishana mawili matatu kuhusiana na kuripot chuon na mambo mengine ikiwa wapo miongon mwetu washafika kwenye hii Taasis yetu ya Usafirishaj kujua kinachoendelea bas atujuze
Vile vile kama documents za ku sign boom zshatoka tufahamishane wadau