M mrisho abdi58 Member Joined Sep 20, 2017 Posts 11 Reaction score 1 Sep 24, 2017 #1 Ndugu wapendwa hv hawa nit taratibu zao zinaenda vp maana Mimi siwaelewi hadi Leo hii trh 23 mwez wa Tisa hawajatoa selection hv ni kawaida yao au ni kwa mwaka huu.
Ndugu wapendwa hv hawa nit taratibu zao zinaenda vp maana Mimi siwaelewi hadi Leo hii trh 23 mwez wa Tisa hawajatoa selection hv ni kawaida yao au ni kwa mwaka huu.
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,293 Reaction score 3,650 Sep 24, 2017 #2 Kwani kuna Chuo kilichotoa selection mkuu
matang Member Joined Aug 20, 2017 Posts 23 Reaction score 9 Sep 25, 2017 #3 jaman tukiona NIT wametoa selection tujuzane jaman katika hilo.
LUGHEIYAM Member Joined Sep 24, 2017 Posts 7 Reaction score 3 Sep 25, 2017 #4 Kabisa tujuzane maana ata mim nasubilia iyo selection mpaka kichwa kinauma,_ NIT kunani paleeee??