Umenikumbusha petrolium engineering! Anyways mwisho wa siku hamna mtu anaye ijua kesho kama unaipenda kasome mambo ya ajira mtajuana mkimaliza.
NB: Kama hujachagua nakushauri ukasome civil au mechanical au electrical! Hizo ndio kozi mama za uhandisi hapa duniani na kwa nchi kama yetu hutolala njaa ukizisoma