From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,827
Mwanaume huwa hamwiti mwanaume mwenzie mwongo. Hizo lugha ni za kina Dada. Usilazimishe ya Arusha yawe ya huku Kigoma.Acha uongo..
Ninamiliki hii nisswn mwaka wa nne huu...plug nne original kwa hapa arusha ni 140000...hii gari nimewahi kubadili plug mara moja tu kwa hiyo nlmiaka minne...angelikuwa ni mtu wa toyota anafunga plug za buku tano tano angeshabadili mara ngapi???
Oil ya gia boksi ya note ni NS 2 cvt kwa arusha ni 140000 na ukiweka ni mkataba wa kuanzia KM 10000.
Kumbukq hizi ni bei za arusha..ina maanq Dar bei itakuwa chininzaidi na spea zote hizi ni original.
Coil ya Nissan note ni ghali kwa sababu cylinder ina coil yake na nilichogundua watu wenye magari yenye coil kama hizi hatuchekani bei...iwe toyota suzuki ..nissan au kampuni zinginezo...
Hatabspea original zq toyota ni ghala kama hizo za nissan..
ndiyo maana watu wenye nissan ukifunga spea fundi analia coz anajua kurudi kwake si chini ya miaka miwili..
narudia Nissan hii nina miaka nayo minne plug nimebadili mara moja tu...
Muulize mtu wa corolla kama kwenye buti la gari hana kibegi kilichojaa maplug
Sasa mzee unalalamika mno, mimi nikiweka oil ya Nissan kwa gear box (Martic J) tsh 200,000, natembea zaidi ya km elfu ishirini, huoni raha!?Plug tu za Nissan Note ni pasua kichwa. Plug tu. Utapigwa mpaka 180,000 kwa plug nne.
Ukitaka kumwaga oil ya gear box oil lazima uwe na 190,000 au zaidi. Hizi sio hela ndogo.
Coil moja ya plug sio chini ya elfu 70.
Sijalalamika Mzee. Ni vizuri tuyaseme yaliyopo ili anayetaka kununua gari za Nissan aelewe kinachoendelea.Sasa mzee unalalamika mno, mimi nikiweka oil ya Nissan kwa gear box (Martic J) tsh 200,000, natembea zaidi ya km elfu ishirini, huoni raha!?
Asante..Sasa mzee unalalamika mno, mimi nikiweka oil ya Nissan kwa gear box (Martic J) tsh 200,000, natembea zaidi ya km elfu ishirini, huoni raha!?
Boss ukipima upatikanaji wa spare kwa mtindo huo basi gari kwako ni anasa sana! Kwa maana hiyo unataka kusema watu wa "mikoani" wasinunue V8, TX, AMAROK, BMW ETC! tuwe tunatumia Passo, Gx100, Vitara etc!Boeing 747 ni bora ungaekaa kimya. Ukiwa na Nissan Arusha ukalalamika spea utakuwa mvivu wa kufikiri. Nissan Note zipo tele Nairobi na ndiyo maana hupati shida. No sawa sawa na familia kudai haina watoto wakati wewe unao. Usivimbirwe Mkuu.
Mkoani ni neno pana na kama wewe unajiona haupo mkoani tulia na Nissan Note.
Mkoani kwangu ni Kigoma, Tabora, Mtwara, Singida na kadhalika. Hebu tuelekeze maduka katika hayo maeneo.
Mkuu hivi kwanini mnanunua hiyo MATIC J kwa bei kubwa hivyo??Sasa mzee unalalamika mno, mimi nikiweka oil ya Nissan kwa gear box (Martic J) tsh 200,000, natembea zaidi ya km elfu ishirini, huoni raha!?
Umemjibu vizuri sana..Sasa mzee unalalamika mno, mimi nikiweka oil ya Nissan kwa gear box (Martic J) tsh 200,000, natembea zaidi ya km elfu ishirini, huoni raha!?
Sasa kumbe boss umeshataja iridium plugs ulitegemea za nissqn ziuzwe 5000/- kweli?Mwanaume huwa hamwiti mwanaume mwenzie mwongo. Hizo lugha ni za kina Dada. Usilazimishe ya Arusha yawe ya huku Kigoma.
Narudia tena upo Arusha. Arusha ni karibu na Nairobi. Nairobi plug nne za Nissan Note ni 140,000 tena Iridium.
Nipe jina la duka wanalouza hizo plug kwa bei hiyo Dar. Nipe duka tofauti na Kisanga pale Dar ambalo wanauza CVT fluid NS2 kwa hiyo bei.
Mkuu hata BP kuna wanaouza 70 na kuna wanaouza 50!Mkuu hivi kwanini mnanunua hiyo MATIC J kwa bei kubwa hivyo??
Bei halali ni 120,000
Daah...boss pole kama nimekukwaza..Boeing 747 ni bora ungaekaa kimya. Ukiwa na Nissan Arusha ukalalamika spea utakuwa mvivu wa kufikiri. Nissan Note zipo tele Nairobi na ndiyo maana hupati shida. No sawa sawa na familia kudai haina watoto wakati wewe unao. Usivimbirwe Mkuu.
Mkoani ni neno pana na kama wewe unajiona haupo mkoani tulia na Nissan Note.
Mkoani kwangu ni Kigoma, Tabora, Mtwara, Singida na kadhalika. Hebu tuelekeze maduka katika hayo maeneo.
Huu ni uongo mkubwa.Spea kisanga, juzi kati hapa x trail yangu ilipasua rejeta, nimekuja kupata spare after 2 weeks
Usilinganishe Xtrail na huo ujjinggaJe Liteace Noah haiwezi kuwa mbadala wa X-trail? Msaada wadau
Xtrail ina kip cha ajabu?Usilinganishe Xtrail na huo ujjingga
Mkuu hebu nijuze maana nami najichanga niagizie hii gari maana haka kacorolla kangu sasa hakiendani tena na mahitaji yangu! Je nissan xtrail ni 4WD part time au full time? halafu hizo button hapo kwenye picha (ni xtrail hiyo) yaani 2WD, AUTO na LOCK zina kazi gani hasa na zinatumika wakati ganiNimenunua hii gari toka mwaka 2000 na sijajuta. Limekula kilometa za kutosha lkn bado linadai. Kutoka Dar kwenda Dodoma natumia lita 35 mpaka 40 kama spidi itakuwa wastani, yaani isizidi 120 km/h
Mhh kiboko ya Mbio a.k.a nduki ukiilinganisha na gari gani??Nissan Cedric ndo kiboko ya Mbio a.k.a nduki
Imetembea km ngapi? Hilo ndio lamuhimu kaka..15 m bei kubwa sana hyo kwa kuagiza! Njoo na 12m nakuagizia kutoka japan kila kitu ushuru na kodi plus tpa vimejumuishwa na gari inakuwa katika hali nzuri,karibu pm
2WD gari inakuwa moved na tairi za mbele tu!View attachment 766193
Mkuu hebu nijuze maana nami najichanga niagizie hii gari maana haka kacorolla kangu sasa hakiendani tena na mahitaji yangu! Je nissan xtrail ni 4WD part time au full time? halafu hizo button hapo kwenye picha (ni xtrail hiyo) yaani 2WD, AUTO na LOCK zina kazi gani hasa na zinatumika wakati gani
Kingine vipi kuhusu kupita kwenye barabara zenye utelezi mkali na matope mazito Xtrail iko vizuri?
View attachment 766193
Hivi Mtwara kunakuwaje Mkoani kwa mfano? Sehemu yenye usafiri kila baada ya saa 1 kuna basi linatoka yaani saa 12,saa 1,2 3.... hadi saa 8! Unaagiza spea unapakiliwa, siku hiyo hiyo unaipata. Huko ni kupotosha.Boeing 747 ni bora ungaekaa kimya. Ukiwa na Nissan Arusha ukalalamika spea utakuwa mvivu wa kufikiri. Nissan Note zipo tele Nairobi na ndiyo maana hupati shida. No sawa sawa na familia kudai haina watoto wakati wewe unao. Usivimbirwe Mkuu.
Mkoani ni neno pana na kama wewe unajiona haupo mkoani tulia na Nissan Note.
Mkoani kwangu ni Kigoma, Tabora, Mtwara, Singida na kadhalika. Hebu tuelekeze maduka katika hayo maeneo.