makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,552
Wabongo mshazoea kila sehemu madalali, hii haina udalali ila hakatazwi dalali, ukitaka hata wewe unaweza kuwa dalali wa hii gari.Ni Kuzoa Gari Tu
Haina Dalali Ama Mleta Tangazo Ndiyo Majembe Auction Mart
[emoji23][emoji23]Tuje Na Fundi au Ataharibu Michongo!? (Joke )..
Gari Nzuri kwa Atakayeipata
Haijabadilisha injini mzee.. Ina injini yake iliyojia.Uliibadilisha njini lini?
Milioni 6 ni pesa nyingi mnooo, lakini kwa hapa hakuna bosi, ujivute vute kidogo mzee.Boss ikifika 6m nistue. Serious buyer.
Gari nzuri ina engine mbili sema tu sijui kuendesha manual.Make: nissan
Model:xtrail
Engine: yd22 common rail
Capacity: CC 2184
Fuel:diesel.
Price:10M
Transmission: manual(gear 7)
SPEED: 220 KM/HR
SABABU ZA KUUZA.
nimehamia shamba huku naona kama naitesa, nauza hii nisake gari nyingine ya shamba.
MAELEZO.
Gari ni nzima haina tabu, wese inanusa tu hapa dar dom huwa naweka mafuta ya laki na hayaishi yanabaki ya kupigia misele.
Ac ya kuganda.
Gari iko full tank ukiiwahi utapata na ofa ya wese,
Kuna engine niliichukua kwa jamaa kama ya ziada(nitolee spea siku za mbeleni) ukiwahi utaipata na hii, madubwasha ya chini sijui ma wishbone na mataka taka mengine yapo yoote ya miguu mi4(hivi utapewa pamoja na gari)
Kama tukifikia biashara na kuna upungufu upo mie nitamtengenezea gari.
Gari inakuwepo kigamboni mara moja moja na mkuranga
Twanga namba 0659445718.
View attachment 2176352View attachment 2176353View attachment 2176354
Shukrani chief nitafanya hivyo.Gari nzuri ina engine mbili sema tu sijui kuendesha manual.
Hiyo engine uliyoitoa kwa jamaa itoe kwenye maelezo.
Nayo pesa, ila iko chini chief, ongeza kidogo kaka, nikupe gari.Mil6 vipi
Anaingilia mara moja moja!? Mie huku ndio nimehamia kabisa, so ni maisha ya kila siku chief.Lakini Nissan XTRAIL shamba inaweza vizuri tu. Brother angu anaitumia sana kuingilia pori ila yenyewe ya Petrol.
Nimekuelewa mkuu, na vipi hiyo nyingine uliyoichukua kama spare ipo vipi?Anaingilia mara moja moja!? Mie huku ndio nimehamia kabisa, so ni maisha ya kila siku chief.