Watu wa JF ni wazushi sana kwenye biashara,wanaweka matangazo ili mradi waweke mitego kwa mabinti wa JF,acheni hizo jamani!!! Mwenye kutaka gari hawezi akapost vitu nusu nusu namna hii kuweni serious jamani!! Nissan X-trail ya rangi gani? Je bajeti yako ipo vipi? We ni dalali au mnunuzi?