madabadaba
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 288
- 178
Hiyo check air flow meter, au njia za upepo, njia ya fundi wako kujua ni kuwasha gar anapuliza spray kwenye kila maunganusho ataona ni wapi inavujisha upepo kwenye engine, nadhan ni hilo niliwahi ona garage gar ilokuwa na shida hiyo ikirekebishwa kwa vitu hivyo viwil.Heshima kwenu wakuu.
Niko na shida sana nahitaji msaada wenu hili gari lina mauza uza balaa.
Nikiwa njiani kuelekea kazini nilistukia ghafula gari linaunguruma tu nikikanyaga moto linaunguruma tu hata halitembei, hivi sasa nimelipaki kwa kulisukuma pembeni mwa barabara nikisaidiwa na wasamaria wema.
Hii ni Mara ya nne hili gari kufanya hivi safarini na kila Mara lilipofanya hivi lilirudi ktk hali ya kawaida bila ya kufanyiwa matengenezo maana hata fundi wangu huchemka kwa kutobaini chanzo cha tatizo.
Walio na ujuzi naombeni ushauri wenu nini tatizo la hii nissan xtrail maana fundi wangu hajabaini chochote.
Nawasilisha.
Nadhani tatizo kubwa hapo sio gari, ni hao mafundi wako unaokiri mwenyewe kuwa wanachemsha na hawajui cha kufanya. Gari hizi hazitaki longolongo kwenye ufundi. Engine zake QR20 na MR20 hazitaki mafundi vilaza.Heshima kwenu wakuu.
Niko na shida sana nahitaji msaada wenu hili gari lina mauza uza balaa.
Nikiwa njiani kuelekea kazini nilistukia ghafula gari linaunguruma tu nikikanyaga moto linaunguruma tu hata halitembei, hivi sasa nimelipaki kwa kulisukuma pembeni mwa barabara nikisaidiwa na wasamaria wema.
Hii ni Mara ya nne hili gari kufanya hivi safarini na kila Mara lilipofanya hivi lilirudi ktk hali ya kawaida bila ya kufanyiwa matengenezo maana hata fundi wangu huchemka kwa kutobaini chanzo cha tatizo.
Walio na ujuzi naombeni ushauri wenu nini tatizo la hii nissan xtrail maana fundi wangu hajabaini chochote.
Nawasilisha.
Hakika. Kuwaachia mafundi tu nila kuwapa maelekezo ni mbaya sanaNahisi tatizo ni quality ya service unayofanyia gari lako
Cc LegeMafundi walio specialize kwenye Nissan nawapata wapi? Je naweza pata contact zao? Mie nahisi nimeunguza plates za clutch. Haibadili gear.