Nissan X-trail

Usijali dada white, tatizo letu sisi walimu hatuangalii maana tu, tunachunguza kila kitu..
 
Last edited by a moderator:

Siyo kwamba walikua hawajagundua, ila wali-take easy!!! kwa sababu ni vitu vya kawaida na ni vidogo pia, hata huyo ''aliyekuweza'' amefanya hivyo kama sehemu ya mawasiliano tu ktk JF.
 
ndugu kama gari hiyo ninakuonya mapema kabla huja bambikwa usije juta baadaye nunua gari yeyote ya Toyota kuliko hiyo Nissan

Siyo kweli Ados,Nissan X-trial ni ngumu sana,kwa long journeys ndo usiseme,durability pia ni ya kiwango. usimtie hofu,
 
Last edited by a moderator:

Hapo umeongea ukweli, ila mi namshauri anunue ya kuanzia 2004, zile za zamani zina cooling systerm ambayo sio nzuri hasa ukitumia sehemu km dar ambako kuna foleni ndefu na full AC otherwise ni gari nzuri tu.
 
Siyo kwamba walikua hawajagundua, ila wali-take easy!!! kwa sababu ni vitu vya kawaida na ni vidogo pia, hata huyo ''aliyekuweza'' amefanya hivyo kama sehemu ya mawasiliano tu ktk JF.

Ok bwana
 
una hela ya mafuta? maana hapo lazima ujiandae afu huyo ni mwanaowa kumlea maana yake kuuza ni kazi kama ilivokazi kuuza baloon

sio zote ,ninayotumia inakwenda km 13 kwa lita,
 
Nunua asee. Ni nzuri hususan kwa tunaopenda mwendo. Imetulia sana barabarani.
 
Xtrail is durable and comfortable
 
Mmh hyo xtrail cjui ni ya mchina bodi lake ni plastic yan ukpata kiajal kdogo tu ni balaa,tafta gar za japan hyo xtrail nahs majanga kwa bodiyake
 
wadau naomba maelezo kuhusu ubora na matatizo ya nissan x-trail.

Injini lita mbili tu, lakini inakunywa mafuta utafikiri ina babu mwenye kisima cha mafuta Saudi Arabia!

Sasa kama bajeti yako ya mafuta iko finyu, endelea na Corola.
 
ASantee kwa maelezo mazuri. Mimi pia Nina xtrail sijutii kua nayo vile vile. Ila nimepata ajari na hii Gari imevunja Taa zote na kioo cha mbele, kama unafahamu naweza pata kwa bei gani na wapi?
 
Hapo umeongea ukweli, ila mi namshauri anunue ya kuanzia 2004, zile za zamani zina cooling systerm ambayo sio nzuri hasa ukitumia sehemu km dar ambako kuna foleni ndefu na full AC otherwise ni gari nzuri tu.

Naomba tu kuuliza,kuna njia nyingine ya kupima fuel consumption? Zaidi ya kuhesabu tu kwenye mileage against fuel in tank?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…