sasa ivi gari za Nissan extrail zimeshuka sana bei, kuagiza mpaka mkononi ni chini ya mil.12 tena hadi za mwaka 2005, hyo yako ya 2003 naweza kukuletea mpaka mlangoni kutoka japan kwa mil.11 tu sasa iweje ww uuze mil.14.5??? sheer ignorance??
Nasikia Nissan tatizo ni spare zake ni shida, spare zao nyingi ni genuine kiasi kuwa wabongo malofa wa kuunga unga can't afford to buy it!
Nina Mitsubishi mini can spare hadi niagize japan
Oil inachoka kwa sababu nyingi unaweza km zisifike ila.kwa hali ya joto ikawa viscosity ya oil imeshachoka...kwa maana ingine km ulizoandikiwa sio lazima zifike.
Gari lako limeshatembea km ngapi? Maana oil.recommended inaweza kubadilika kutokana na odometer yako ie xtrail mpya huwezi tumia oil ya viscocity sawa na xtrail ambayo imeshatembea km 90,0000
Mimi nina gari natumia 5w 30 na lingine 10w 40..hapa moja lina engine ya km nyingi zaidi ya lingine na ni as per kitaalamu kua old cars tunatumia ambayo ni thick.
Kwahiyo 5w 30 you can go up to 10,000 ila usifanye hivyo kwa usalama wa gari lako..