Nissan vanette inauzwa

Nissan vanette inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,775
Reaction score
131,966
NISSAN VANETTE INAUZWA..
NI TON 1,TANGIA ITOKE JAPAN HAIJAWAHI KUFANYA KAZI NGUMU...KUBEBA MIZIGO...ENGEN NA GEAR BOX IKO VIZURI SANA...
NI AUTOMATIC TRANSMISSION
BEI YAKE NI 9.5 MLN...KWA WALE SERIOUS BUYERS WANIPIGI..
VIBALI VYOTE VIKO SAWA HAIDAIWI..
 
Attachments

  • IMG-20160821-WA0000.jpg
    IMG-20160821-WA0000.jpg
    65.2 KB · Views: 87
  • IMG-20160821-WA0001.jpg
    IMG-20160821-WA0001.jpg
    55.3 KB · Views: 91
  • IMG-20160821-WA0002.jpg
    IMG-20160821-WA0002.jpg
    80.3 KB · Views: 77
kama unakula mkono niku pm namba.
Mkono Huwezi pata gari hiyo.....9.5mln iko fair kabisaA na kwa mtu anayeifahamu gari hiyo na kuifanyia kazi siyo ya kuiachaaa
 
Kuna mzee mmoja aliletewa zawadi na mtoto wake anaishi nje kamletea gari kama hiyo sasa hivi ina miaka 15 mzee hajawahi kuipeleka garage akaipeleka ni kwenda kubadilisha oil na labla na tairi na inafanya kazi za shamba!! Hii gari imetulia sana ingekuwa yangu nauza bila 13Mil siuzi!!
 
HIVI GARI HAIJAWAHI KUGUSWA MASHINE WALA KUPATA TATIZO LOLOTE HIYO 9.5MLN NAIUZAA FASTAAA TU MAANA HELAA INAHITAJIKAA KWENYE SHUGULI NYINGINE
Kuna mzee mmoja aliletewa zawadi na mtoto wake anaishi nje kamletea gari kama hiyo sasa hivi ina miaka 15 mzee hajawahi kuipeleka garage akaipeleka ni kwenda kubadilisha oil na labla na tairi na inafanya kazi za shamba!! Hii gari imetulia sana ingekuwa yangu nauza bila 13Mil siuzi!!
 
Kuna mzee mmoja aliletewa zawadi na mtoto wake anaishi nje kamletea gari kama hiyo sasa hivi ina miaka 15 mzee hajawahi kuipeleka garage akaipeleka ni kwenda kubadilisha oil na labla na tairi na inafanya kazi za shamba!! Hii gari imetulia sana ingekuwa yangu nauza bila 13Mil siuzi!!

kwanini amletee baba yake gari wakat yeye anaishi nje bora angeishi kwenye hiyo gari ase akishapata nyumba ya kuishi ndo amtumie baba yake hiyo gari ase
 
NISSAN VANETTE INAUZWA..
NI TON 1,TANGIA ITOKE JAPAN HAIJAWAHI KUFANYA KAZI NGUMU...KUBEBA MIZIGO...ENGEN NA GEAR BOX IKO VIZURI SANA...
NI AUTOMATIC TRANSMISSION
BEI YAKE NI 9.5 MLN...KWA WALE SERIOUS BUYERS WANIPIGI..
VIBALI VYOTE VIKO SAWA HAIDAIWI..
Mkuu niko serious nakupa 6-6.5.niipeleke moshi niko serious mkuu
 
ONGEZA HELAA UCHUKIE GARI BADO IKO BOMBA SANA.....HII GARI UKINUNUAA HUTAIJUTIAAA
 
Back
Top Bottom