Kwanini unaiuza mkuu..?? Yawezekana ukanipa jibu rahisi kwamba "NAIUZA KWA SABABU NI MALI YANGU NA NIMEAMUA KUUZA." Ila mnunuaji anaweza akatamani kujua sababu za kuuzwa kwa kuwa umeshaitumia.
Maneno ya kwamba haijarudiwa rangi na ipo katika hali nzuri, huwa ni maneno ya magari USED. Sijamaanisha used Japan, bali hapa hapa bongo...!!!