Kijana, kwanza naona sasa hivi umekuja kwa adabu. Nakufahamisha kwanza umeangalia tu calculator ukahisi hio $3600 ndio bei hali,siyo. Hio ni ya TRA kwamba hata ukinunua $1000 wao wana ya kwao ndio inaleta ushuru 9.m. Hayo magari sasa hivi Jp ni kuanzia $700 na kuendelea. Sasa ukilinunua $700-1000 CIF yako inakuwa around TZS 5m ukijumlisha na ushuru utapata around 15m. Mfanyabiashara anajua jinsi ya kupata kwa bei rahisi zaidi na akajitengenezea faida yake hata 500,000/- anapoteza nini na alichofanya yeye ni kutumia bundle lake tu?
Port charges,agency fees etc utalipa WEWE MWENYE GARI LIKIFIKA. Haya tuseme hizo zagazaga ongeza 600,000 sasa ukiwa na 16-17m si umepata hio Murano?